Jeremiah 48:7


7 aKwa kuwa mmetumainia matendo yenu na mali zenu,
ninyi pia mtachukuliwa mateka,
naye Kemoshi
Kemoshi alikuwa mungu wa Wamoabu.
atakwenda uhamishoni,
pamoja na makuhani wake na maafisa wake.
Copyright information for SwhKC